Huyu jamaa #ishehereyet

Just wondering. Is Potus here yet coz tumekatiwa maji na jamaa wa mkokoteni ako MIA.

2 Likes

boss hama kayole…what happened to your endless hekayas? we miss them

Hehehe. Nilihama kayole bro. Niko kisauni.

1 Like

Mombasa water haijalipa Coast water millions in debts. Ukifika nyali bridge pitia underground tunnel uchape shower.

1 Like

The excuses wives are going to hear over this weekend blaming it on Obama will be crazy. There are guys who will turn up in their homes on Sunday night and claim how they couldn’t come home as all the roads were blocked and they couldn’t call since there were network interruptions.

4 Likes

Nilijua tu. Uliweka thread hapa eti you’re leaving for good mpaka ukasema goodbye. Hakuna mtu anawesmake kuwachana na hii kijiji na aendelee na maisha yake kwa uzuri

1 Like

he he he, tega sikio jamaa wa mkoko atapita tu hivi karibuni. I was a bit confused when i relocated to the coast alafu naskia hao majamaa wakipita, ndio nkaambiwa huwa wameweka hizo kengele wakipita ndio unatoklezea na kamtungi.

1 Like