Naona huyu mzee nderitu njoka wa maendeleo ya wanaume alipioneer biashara ya redpill na mgtow kitambo sana then he disappeared.
Watu wakiomokanga they retreat to a quieter lifestyle kukula change polepole bila Kusumbuliwa na hecklers kama @uwesmake kama vile Pastor Muiru anavyonyonya Sadaka ya Bonobos mos mos.
Hakuna sadaka yenye pius anamumunya.Alichapwa na stroke na ako na arthritis.Saa hizi ana hang kwa coat tails za prophet ezekiel angalau apate ya supper daily.