[ATTACH=full]239680[/ATTACH]
Ustadh, pole sana kwa swaum!
na saa hiyo uko na deni ya tala… poor guy
Mbona faini ya twiga iko juu hivo jameni?
Because you should be able to see it coming from any direction
He he he… Apo ndo mdosi anapigiwanga akiambiwa tuko na shida kidogo hapa…
But seriously? A whole giraffe, and a guy couldn’t see it…or maybe it was at night…
Lakini guys kwa kusema ukweli, whose responsibility is it to secure wanyama WA pori?wapi fences along the road or animal passage tunnels where it’s complicated to build a fence ?Africans are total fraud
boss hata most countries not all parks are fenced or have animals tunnels
Giraffe huwa wajinga kama kuku. Unpredictable.
So the giraffe’s indecision made him blind…that’s very rich.
I saw this here a week ago
Hii ndio ubaya ya kula iftar usiku mzima kisha daku then kulala mchana yote…kupitwa na kila kitu
Kwako sufuria za ugali zimeongezeka ngapi juu uliona hii picha hapa before I posted it?
The man is technically in hibernation. When he deigns to make an appearance…be kind.
sasa juu unasomea majuu hatuta pumua?ati whose responsibility is it. Hio pesa unapata huko itumie kutembea kenya ujue inchi yako. Brare!
Endelea kula ,5 am bado fika then take your lazy ass to bed the whole afternoon. Unauliza mwanaume ju ya sufuria? Hio sijui uliza makunguru hapa ,hua siingii jikoni
Brarefwakin shiet…
[ATTACH=full]239705[/ATTACH]
Wewe akili yako iko kwa kula, mimi akili imo kwa ibada. Have a good day.