Huyu Amedinya Point

[ATTACH=full]474936[/ATTACH]
[ATTACH=full]474937[/ATTACH]

very very solid point, i agree

Collins Wanderi ni mzee hajielewi. Anatafuta attention kwa social media kama kijana mdogo. Ata kama unaongea sense, ukiwa mzee unaongea chini ya miti na wazee wenzako, sio kwa soko katikati. Hapana tambua Collins Wanderi.

Mzee amekafunga but his only problem is being too loud on social media