Huyo jamaa wa kusimamisha watu wa street na kuwauliza how did you get rich, unamulipanga pesa ngapi ndio he runs into you "randomly"