Hutu Ndio Tule Tu-thug Mi Huogopa Tunipate Hapa Kwa Cyber

Ghaseer isha-make peace with the fact that he can die any moment
[ATTACH=full]339887[/ATTACH]

Ukiwa “bad boy” hata kama sura inafanana lorry ya jeshi bado utawakunywa tuuu
[ATTACH=full]339888[/ATTACH]
[ATTACH=full]339893[/ATTACH]
[ATTACH=full]339889[/ATTACH]
[ATTACH=full]339891[/ATTACH]

@Big fire hope all is well

Whats the deal na majambazi na ma simu za buttons?

maliza ghaseer

@johntez addi gaza msafi is no more

Fala sana,atleast ametuma Chia hio yellow Yello

Ni kama ata hao hupigwa ngeta so wanatembea na mulika mwizi si smartphone

Happy Darwin

Mulika mwizi is still alive and well in the lower classes.

:D:D:D:p:D:D irony

Im talking about thugs,these scum of the earth can acquire any phone they want but they have to have the button phone

maybe ni kuavoid tracking,

Simu za bei hupigwa soko wapate pesa za hepi na kununua mangoto. Some phones are tracked thats why wanaziachilia mbio sana. And you dont expect such thugs to walk in a shop to buy a brand new phone.

[ATTACH=full]339934[/ATTACH]

Alikuwa anaibia watu hapo Manyanja Rd., Tena.

Hiyo kazi ya kusnatch simu ndio hawa vijana wadogo wanafanya na nduthi siku hizi. Wanaona kungoja customers wa finje ni kujikosea heshima. Kuna mwingine nilikuwa naona huku akibeba ma arif wake the whole day mpaka nauliza kwani huyu kijana hufanya kazi saa ngapi. Siku moja akakam na madent, tukaskia alishikwa akiiba akapapaswa na raiya properly.

[ATTACH=full]339935[/ATTACH]

Such a dumb assumption. GSM is the least secure protocol esp to cops since no encryption is used and traffic cannot be routed via any form of tunneling.

Hutu tu thug tuki kupata kwa Cyber corporate tu.Wanakuanga na akili pungwani wana kuwa triggered na vitu ndogo sana.They live for now.No investments,no family, no nothing.Wakiangukia doh ni hepi na malaya ma jaba nonstop mpaka iishe.

True.Thats why I still use my CDMA telkom line in a 020 kabambe phone.Hata ukuwe superman huwezi jua kama nakula malaya pipeline ama nauza mafta taa Kitengela.GSM ni ovyo.

Ni ngumu kutrack…ata ma peddie tunapenda hiyo buttons. Hii smartchieth is messing us.