Hustlers watumie Elianto na olive oil

[MEDIA=twitter]1573214929175314433[/MEDIA]

Wanataka tununue ghee from ile family.

@Motokubwa ako Sawa. Yeye hutumia mafuta ya ngarango. Hio 160 Kg of blubber sio ya seed oil.

Hatutishiki… Ata mercury ya sukari ya Kismayu haijatupea brain damage [SIZE=1]ama ilitupea tukiweka Riggy G na JSKS State House [/SIZE]

Elianto is also rubbish
Cold pressed extra virgin olive oil is good but that field is full of fraudsters who dilute it with vegetable oil

Animal lard is the best