hustlers in kirinyaga are very happy

[MEDIA=twitter]1621058438917652480[/MEDIA]

[ATTACH=full]493700[/ATTACH][ATTACH=full]493701[/ATTACH]

Waiting to see how watapelekana na akina Mama Crucial…huyu mama ata time ya mututho bar zake zlioperate 24/7

Tugege:D:D:D

:D:D:D kofia zinakaa tu central

Walisema ni 1 town 1 bar. What dont these tugege understand about that statement?

…and that one bar is managed by the county government ama kunaenda aje?
Yaani hii serkali inajua to rule the people, you have to make them poor.

Huyo mama ni fire bin mwaki. Hakuna mahali Waiguru atampeleka. Watch this space.

picha?

Moderator uko hii Kenya na hujui crucial woman? Ask anyone who is/has been to Mwea and Kerugoya. Huyo mama anajulikana kama ngono banae. Na uzuri wake yeye hununua akiamua. Kumshtua ni Kama kuwasha moto ya magazeti.

Hasoras

Kuna jamaa alikua anaitwa njoro pale muthama back in the early 2010s, I tell you bar zake zilikua zinaoperate 24/7 even during the mututho times. The guy was a real alpha to the point wale D- wa kuokota machwani alikua anawavaa guoko mbaya! Yeye alikua anachunia ocs wa Kabei only. His bars in the 90s and after were a safe haven for hardened crooks and would be frequnted by crooked cops and gangsters alike. This guy Njoro alikua moto kama pasi lakini kitu apo 2013 aliangushwa na ocampo and crew.

typical msap you think everyone resides in those dingy villages in Mt Kinya.

Mimi nimeishi izo pande siku mingi to know what goes on and who is who. U-summer bunny wako ketisha Nairobi :D:D:D:D. ION Mimi Sio msapere Kasia.