Hustlers can't buy bread.

[MEDIA=twitter]1623603990251331586[/MEDIA]

mkate ina manufaa gani kwa hustlers? hustlers wanafaa kuwa kwa migodi huko ikolomani, wakae huko chini hadi gold ipatikane, kenya isonge mbele

Haki ya mungu kalenjin mkimalizana na this shell called Kenya itabaki mifupa tu

Peasants warejelee maisha ya kiasili. Very cheap na hushibisha the whole day.

Mkate itahitaji butter, ghee, margarine, fruit jam, sesame & njugu paste, honey etc which is additional costs.

Mon-Pumpkin.
Tue- Cassava.
Wed - Boiled Bananas.
Thur- Nduma.
Fri - Njugu+ Sesame + Soya.
Sat( leo) - Ngwashe
Sun - Open i.e. eggs, ripe bananas, mkarango, Githeri ya jana, etc
[ATTACH=full]495188[/ATTACH]

Mkarango ni nini brathe?
Where I come from mkarango ni busaa inakarangwa kwa sufuria ya square kubwa Ina geuzwa geuzwa na spade

I think you are mentally handicapped.

:D. Ni one of the ingredients ya kutengeneza busaa ( ferment grade 2 flour for about 3- 5 days, ikiwa chachu you heat in on fire until it turns brown - iko na aroma ya kipekee, luhyas wanaimanya ). One of my wives is from UG na wanaipenda sana. Saa hii wote wamekua members.

:D:D haiwezi lewesha? Nakumbuka nikiwa primary school Kuna maboyz walikuwa wanakuja kama wamebeba kwa karatasi ya maziwa…wanaikula ka snacks

Huwezi @Kalenjin101 kwa hii thread… he is still trying to find Market for his maize harvest after uncle Ruto flooded the Kenyan Market with cheap maize imports

Haitokulewesha kamwe, shida ni slow digestion ukila big volume ( 10 - 12 hrs bila kuhisi njaa).

:D:D:D kesho kesho utaskia venye watabinga mbaya kuhusu number one

They will be the first to complain followed by shiny eyes like @Berlin Oxford