Saidieni hasora … any advice for him [ATTACH=full]356265[/ATTACH]
Kama anafanya kazi 4hrs pekee, aendelee na kazi alafu sasa akitoka kazi ndio anaingia taxi
4 years not hours.
Nazeeka banae… 4 years kama hajapata pro motion ama kuongezea mshahara anaweza left… Thats kama ako sure Taxi itaingiza more
He should stay and do the taxi service over the weekend until he’s comfortable.
Taxi na Corona& curfew is not good business at the moment.
Angoje mpaka next year
Saa hii na Corona ataona fire
Atoke aondoe jam