http://www.ishikistaa.com/wp-content/uploads/2018/07/wema-696x464.jpg
Hukumu ya Kesi inayomkabili Muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ya kutumia madawa ya kulevya itatolewa leo Ijumaa.
Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili mnamo tarehe 23 Aprili 2018 walikutwa na kesi ya kujibu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana kukabiliwa na kesi ya kutumia Madawa za kulevya.
Mimi kama Mfalme tajika namtakia kila la wema (sepetu)