Hujuma Number Season 2

Kumbe hawa watu hawakuregister watu eleventy million kama vile walikuwa wanabweka…sasa hii kitu wanarudisha tena… Watu walichukua hii namba ya saitan maisha inawepelekaje? Ni maisha Randan baada ya hujuma number?

Hata wakirudi 999 times

SICHUKUI

na

SICHUKUI

nefaefa!

:slight_smile:

I hope you will never need to renew a Kenyan Passport or Driving licence or apply for a Civil service job.

:smiley:

Ni maisha Randan baada ya hujuma number?

Tuko nazo tayari

:D:D:D
Buda, I know you’re a proponent, but me and mine didn’t take round one, sent one kid off to China na amerudi…and round two still looks like sludge…
Wotis?

just take the damn number and put the issue behind you. won’t hurt.

Imekusaidia na nini so far?

Huduma Namba hazijatoka. They are still cleaning up the data and as you can see the registration process is not over. Ngojea zitoke ndio uulize hilo swali.

imeongeza ugali kwa sufari yake

What happened to hao watu eleventymillion na kiherehere ya Matiangi ya no extension…hii ni hewa joto

.

Keyword is ‘RENEW’

We will bribe, lakini hio namba ya shatan hatuchukui

What happened… so fast

Haha. Hatuchukui

@The.Black.Templar ebu come

Ile ghassia ya klist Wakathambi ilikuwa inaongea kisapswahili ilienda wapi