Hujambo @255 ,nakutakia mwaka wenye mafanikio

Ila hizi habari zimenipa wasiwasi sana

https://x.com/TBoundBuses/status/2006426344675225736

Hata hivyo, madada wabongo wabarikiwe sana

Hili hapa tangazo la TRC, usije ukaniita adui mkuu ambaye hapendi maendeleo ya taifa la Tanzania

https://x.com/TBoundBuses/status/2006431636531871753

Asante ndugu.