Huduma namba

[MEDIA=twitter]1208613198271844352[/MEDIA]

Wtf?

Pesa ya wizi lasima itafutwe.

Watu walipiga Kura Mara mbili…:D:D:D
January munaanza kufile tax returns…

So wale waliregister ndio ngombe za kwanza

Hii serikali hakuna mtu ako na akili.

Wazee na idea za upus, gova ipewe mtu ako 30yrs old …kijana fresh

Bila lube

Wana mtupu

Enyewe Kenyans hamna akili hata ukisoma aje. Huduma number was a scam pesa iibiwe na juu nyinyi ndio wajinga mkaenda kupanga line kama kondoo ati serikali imesema tuchukue. Hizo pesa ndio watu gava wanapeleka MWK Dubai holiday wakiwacheka vile wana sodomize stupid Kenyans. Endeleeni kusodomiziwa tu. Mimi hakuna kitu hii serikali ojinga itaniambia nifanye nitii.

I posted about this kitambo sana
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/meat-regulations.131670/

Having passed through the Act, I support Huduma no. for livestock .It will be a game changer in handling livestock and livestock products especially MEAT