Hey guys.
I’ve got a HTC One yenye imeingia maji. Imeanza kunisumbua na touch yake.
Ni fundi yupi unajua anawezainunua kama scrap?
Thanks.
Utachukua 50bob ya fare?
1 Like
utaambiwa mia mbili
Shika thao mbili nitumane ikujiwe
if you can hold it up to next wk, I can direct you to a guy nikirudi Nairobi. But don’t expect pesa ya maana
simu ikiingia maji eka kwa uncooked mchele (dry) for some hours itarudi poa
ingekuwa Samsung ningekupa contacts ya ma dealer
Niexpect kama how much?
Nipee tu bado.
ata less tham thao depending imechapa hadi wapi