HPV in men

Wapi yule talker alinyandua dem ako na wart kwa matako?Chances are high aliambukiza wewe HPV and 16% of HPV variants cause cancers.They are now giving the HPV vaccine to men kwa hivyo kimbilia kituo udungwe vaccine badala ya kukimbilia local kukunywa chrome.

4 Likes