How you dress

Having grown up in the 90s and 2000s I got accustomed to wearing baggy clothes that barely fit.
Waalimu wa shule walikuwa wanavaa suit oversize double best you can hide a G3 rifle in the inside pocket.
Alafu Kuna wale watu wanono sana sana mamanzi kuvaa nguo za watoto wadogo nguo inakaa inaenda kupasuka.

A few years ago I got a few fitted suits (ya kushonesha) when I’d traveled majuu, But do I say, And realized wearing clothes that fit is something of importance. So siku hizi hata nikinunua mtumba there’s this guy who does alterations for me yaani unakaa tu smart poa.

From now on, make a point to know your size and fit. Uwe unavaa nguo Bali sio nguo zinakuvaa.

[ATTACH=full]59304[/ATTACH]
[ATTACH=full]59307[/ATTACH]
[ATTACH=full]59304[/ATTACH]
[ATTACH=full]59308[/ATTACH]
[ATTACH=full]59309[/ATTACH]
[ATTACH=full]59310[/ATTACH]

6 Likes

HIYO YA MWISHO INAKAA GAY LORD MATAPAKA

4 Likes

Hiyo suit ya white wasapere hupenda sana, hiyo ikosi ni butcher man wakanyama akienda ruracio

4 Likes

Wacha wivu. Suit iko chonjo

thread ya umama peleka salon section , kwani naenda fashion show ndio nianze kupima nguo .

1 Like

mimi i don’t care kama nguo imenivaa ama nimeivaa bora sitembei uchi

4 Likes

Nilikuwa nakungoja. Kojolea hadi umwage hewa.

Huyo ni Big Ted hapo nyuma ya wyre?

Apo sawa fathe, kwanza khaki fitting inakuaga imekubali sana

Bahati yangu manguo za China kwa zile manduka ndogondogo zinanitosha EXACTLY

Big wig since kitambo

1 Like

Jesu Huyo ni DJ moz na suti ya white? I agree. Nguo fitting ni poa lakini wanaume get it right fitting na tight ni vitu mbili tofauti tusishindane kufinyilia thighs kwa skinny jeans,!

2 Likes

Some of the fashion from the 90’s was a disaster.

Kuna venye io suit ya white trouser yake ilikuwa imeundwa. Hapa ju kuna 'tumikunjo tatu kila side. If you didn’t have that wewe hukuwa wa kutajika. Hiyo trouser nmeeka pare archives for future reference of what I don’t like.

1 Like

20 yrs from today you be looking at your 2016 pictures and realise how ridiculous you were looking in your fitting clothes.

1 Like

mbona huyu mtu on the far right amevaa slippers? he is a matatu driver and they are discussing about the rongai matutu accident!

[ATTACH=full]59327[/ATTACH]

There’s a difference between fitting clothes and tight clothes. The former is form and function the other is fashion and trend, that is why bell bottoms look funny but a knee length skirt is kawa.

1 Like

[ATTACH=full]59329[/ATTACH]

7 Likes

:D:D:D enyewe watu huvuta bangi, ukivaa hivyo bank ata unaeza confuse teller akupee pesa mob

The confidence in that man is unrivaled :smiley:

1 Like

:D:D:D:D