How UDA rigged over 1 million votes in Mt. Kenya

Watu wa UDA I’m sorry to tell you, but everything done in darkness will come out. I am telling you, you will be exposed hadi kwa panty.

https://www.youtube.com/watch?v=z9ZOEOWLy0U

Firwa

Game over

So says the REJECTED lonely post menopause bitter woman

Where was the much hyped deepstate

No stop this madness

Nope. Let me tell you the honest truth about this man. He bit more than he could chew by going for the Governor seat in Kiambu. He misread the tea leaves…angekaa tuu kwenye alikua. He then picked Uhuru’s rela as a running mate. That cotsed him heavily.
Hakuna kitu imeibiwa this time round. Kyuks just said no nooooo nooo to Jakuon and Uhuru.

@TrumanCapote, usitie siasa kwa moyo au akili saaana, be flexible to accept anything you cannot control. Relax na uangalie maslahi ya Muthungu…najua yuko dryspell sababu umeingilia siasa…Umetetea sana Azimio ni kana kwamba una shares na labda hata hawakutambui. Mi hata nikiskia ni Mwaure ameshinda nko tu sawa…no gain…ni loss

I am not like you UDA people supporting Ruto because amewalipa. I don’t need Azimio kunitambua. I have Baba loyal supporter tangu time ya Moi. So sijaaza kumtetea jana. Na bado sijamtetea. Nitamtetea hadi aingie statehouse because ashashinda. Na nimemueka kwa roho, Figo hadi maini. Kenya is our country and we need patriots like Baba at the helm. Sio majambazi. You don’t love your country kama hujali mwenye atakua president. I’m not flexible and I am not going to accept mtu ameibia wa kenya hadi tokens bcz I love my country and sipendi kuibiwa.

Azimio - Ishawezekana.

Hati tumelipwa…Mimi si J Pombe… Anyway kaza moyo anything is possible. Sisi ni team neutral hatujali kikombe inaenda wapi. Hakuna sku any of them ataniita tunywe supu… ni familia na wandani ndio hufaidi. Mimi na wewe tuta suffer au ku enjoy the same regardless of who wins. Siwezi kubali depression hati nasumbuka akili ni nani atashinda.

Capote must be a luo

Sad. And who mde you deputy Jesus to judge those who do not think ike you and accuse them of being stupid and unpatriotic? Huyo baba yenu ni mwizi sana na siyeye pekee ako na loyal supporters.
Dont be flexible, punguza tu Bakuli …juu si wewe pekee unaweza ongea na nguvu na maudhi. Humble yourself