How to update Android version

Guys help

What’s your phone model and android version, it might be impossible.

Huawei 4.2.2 want it to be 4.4.4

Settings>More> About device>Software updates>Update now

huawei model gani

kama haijakunotify availability of system update then uflash custom Rom

hapo hakuna ANDROID VERSION una update…io ni ku Update OS yenyewe…

Try this…

download clockwork mod [cwm] ama rom toolbox lite ama pro from playstore…ukikosa saka cracked from APTOIDE<<<<>>>:cool:
download custom rom yenyewe kutoka kwa net(official site ya brand ya phone yako ndo usipate noma , mavirus na scam but ukikosa download enye iko)…Custom rom ni about 200MB…
inafaa kudownloadika kama .zip file,Kama imekam kama folder just zip it
put the zip file kwa external sd…
washa phone yako in recovery mode kutumia clockworld mod tafuta tu io button >>>Reboot in Recovery<<<<click
kama clockworld mod haiko compatible jaribu kuwasha phone kama umeshikilia volume + power [down ama up]nimesahau
lakini chunga usi hard reset phone yako…
navigate to where ulisave ile custom rom 4.4.4 zip… alafu instal
kama phone yako haiwezi boot in recovery thru io process ya combination ya ma button…
uliza uliza,…ukikosa lose HOPE…ni ngumu imek…hakuna process ingine
vumilia na version ya kitambo kama hii haijamek:):stuck_out_tongue:

                                      ukipata shida: 0728651244 tusaidiane

niccur wacha uwongo. wewe mwenyewe uko clueless

Hivo ndo inawork na ma tecno ka zote,borako inaeza boot to recovery mode,si ati niliamka nikaguess io post,imework kwa tecno H5