HOW TO SHED OFF A SLIM BODY

am 70 kgs, fucks once in three years but watu wanasema nakaa skinny

Stop smoking, eat your wife’s homemade cooking pia fombe upunguze,
ION what happened uliomba kwa club ukaambiwa watoto Wa rika lako wako home usingizi?

4 Likes

chieth,

Chieth mingi

Just take heavy meal at night…

Whatever foods add protein+testorone. Then add weights. balance it off with a good dose of fruits and greens, keep your vitamins and minerals in check - nutrition no muhimu sana.
Also less wanking…more sex:D

Kumbe kuna ma 1gb ni wengi huku.

kaa tu vile uko. ukifanya hizi ufala unaambiwa unaeza anza kukaa funny. pengine ni kautambi pekee katatokea ukae kama python imemeza elephant. unajua vile msee ukaa funny kama amekonda lakini ana utambi?

2 Likes

:eek:Redneck diet singewes !!!

2 Likes

:D:D:D:D:Ddumbest thing nmeskia this year

1 Like

Kama uko na blender ,blend maziwa+avocado+banana+na raw egg,twice a day and kula kawaida then check your weight after a month

1 Like

1×3 daily

Kula mahewa utafura

@G-STAR NYONGETHA. Hapa Ruffneck amesema ukweli.
Shago nilikua na nunua maziwa fresh 5ltrs daily (50 bob pl)

Lita moja ya chai ya asububi.
Lita moja ya chai ya jioni.
Na hio lita ingine tatu nakunywa.

5 weeks later nili nona aje!
Kichwa ili kua imekua round
Usually inakuanga rectangle ivi(portrait) kitambi ilikua imekam

Vile nilirudi nai maziwa ikakua shida, 60bob of pure chiet nikawachana nayo. After 3 months hio Fat ilisema Adios, pia mimi nikaiambia Adios
Kucheki ivi pia Kitambi iko na
Mimi hapo inaambia Fat Adios pia.

Fat ikaenda, Kitambi ikaniangalia
Naku ni show siendi mahali,
tuko pamoja. Chiet! Nilikua na kaa
funny, kwanza nikikula nishibe na
kaa kama niko na mimba.

Na vile nilikuanga na ka six pack
Kabla ni none, kila siku nikiamka nachapa press ups 30 na pull ups 30 na zingine kadhaa nika evict hio kitambi six pack ika move back in.

Kitambi sio ya watu slim.

2 Likes

Boss, hope hii itakusaidia. Wish you well.

https://www.youtube.com/watch?v=TmT0KORQ9WA

Usome hii pia, baadaye lakini.

https://www.africanexponent.com/post/why-south-sudan-arrested-17-people-for-fattening-themselves-3243

1 Like

hehehe noma sana fat competition they are unrecognizable

@10000 OTHERS check time stamp 5:19 uniambie kama nilikuwa nimedanganya!!!

following keenly