How to prepare Bhajia

https://www.youtube.com/watch?v=M7UMRdljUpI:299

Si unapenda food! Anyway nani hapendi food?

Viazi karai

GIO is back?

Na mwenye anaona bibi yako kama food je?

Two different things.

Bhajia ya nairobi ni bhajia bonoko

Nairobians wanatambua tu bhajia za hii place.

[ATTACH=full]453770[/ATTACH]

Try the maru bhajia at Diamond Plaza, or at Marita’s(Kilimani/Magharibi place)…dunno if Slush is still around…

Kuna some crunchy snacks made from wheat tulikuwa tunaita bhajia. Nani anajua jina yake kamili?