How To Lose Your Expensive Phone In Kanairo

[ol]
[li]Uko kwa matatu and a certain woman claims her phone has been stolen[/li][li]You volunteer to help and offer to beep her number[/li][li]She finds her phone in her huge handbag[/li][li]Now She has your number[/li][li]You arrive in town and alight[/li][li]She follows you and causes a scene[/li][li]Crowd gathers around you and she screams that you have her phone.[/li][li]She has memorized your number and gives it to another person to beep it[/li][li]It rings in your pocket[/li][li]You are smashed to a pulp, Money, Phone, everything is gone in Seconds[/li][/ol]
[SIZE=6][COLOR=rgb(184, 49, 47)]DON’T HELP STRANGERS[/SIZE]

Nairobi it’s all about minding your own business, not your monkey, not your circus

piga yeye rko…

Jabaration stories

Fortunately i use kabambe to make all my calls and mpesa transactions

Asking them for your password is usually a standard response. Kama agwessema password, unamuekelea kofi ya kimataifa mpaka akili ireset.

[ATTACH=full]499462[/ATTACH]

Wewe hujui seconds are precoius in Mob justice. Kabla uanze kuuliza mambo ya password uko na vibare kama 80 kwa uso, lips zishavimba huwezi hata kusema password yako tena

Maybe huko Mathare ama Kibera ndani. By now people have known those tricks za kuibiwa phone. This trick has been around for more than 8yrs now.

Hapa @Ndindu umetubeba upuss kiplani

Unless you’re dick driven, there’s no way you’ll go on with no.2.

Ndindu hii trick ilikua ya 2010 bro

[ATTACH=full]499465[/ATTACH]

…Hii ufala si iliisha kitambo. Watu walisha erevuka. Kanairo wachana na watu. Ukiingia Kanairo ALWAYS have it in mind you the ONLY sober Kenyan and Shit can happen anytime.

Tuliona @Josto Bwaku akipasuliwa mayai na the late binyavanga 1993 pale modern green

Ndindu that shit is so 1960… nowadays ‘kids’ just walk around you while terrorizing you na hata hakuna mtu anajua au kujali till they steal everything from you…uki raise complain au ukitoka mbio unageuziwa

Unatoroka usiibiwe unageuziwa wewe ndio mwizi. Noma sana.

Kuna time, ma boyz wawili walinisimamisha tao hapo national archives, wakanisho wamenifuata and are sure nimebeba laptop. Sikuingiza baridi. Wakanisho wame jipin na wanadai kenye nimebeba. Nkacheka kiasi nkawasho na heavy ghetto accent “najua mko works, but kama hio ndio kazi msiumize mtu” nkapat mmoja kwa mabega nikimwongelesha, huyo boyz mwingine akadai “wachana na huyu msee”. Nikajitoa. Confidence sijui ilitoka wapi juu body size hatukuwa tumeachana vile. Kumanisha wangeni handa wangetaka.

Kuna pia time nmepatikana na maboyzs hapo globe round-about ma sas za afternoon, hao ma boys waliniacha nikaenda na kila kitu nilikuwa nimebeba, walinisho ni venye ume bonga poa.

Hii tao unaweza nyurio kwa sabau ya 20 bob. The way the economy is heading mtu akidai soo mpe kama uko nayo badala ya undungwe ukapi ya inchi 9 kwa mbavu. Siku hizi wanavaa spokes mbili za pikipiki kwa sleeve ya jacket. Ukilleta shida anazivuta mbele anakuchapa ngumi ya tumbo unacollpase kwa barabara.

Ilikuwa kitambo kiasi. Sahi huwa na avoid kutembea ovyo ovyo.

Harharhar…this one is funny…I can imagine the situation

Hapa una pronounce password ama pattern saa ngapi?

[ATTACH=full]499486[/ATTACH][ATTACH=full]499487[/ATTACH]