How to know ugali imeiva

When all mokorote comes out with Ugali namna hii

[ATTACH=full]217689[/ATTACH]

Utatoa Mara ngapi ndio ujue mukuro inatoka yote?

cook normally, punguza moto then cover it leave to ‘bake’ for 20+ minutes hadi uskie imenuka. Thank me later

When you cook , there is a time when inapumua -mvuke inatoka kama volcanic mountain . Then reduce heat and let it cook for 20 mins on low heat . Then you surprise it by sudden somersault . Then boom that’s the product

:D:D:D

In my place we are prohibited from cooking ugali in PTFE (Teflon) sufurias.

Gwariiire buya omogambi?

Eeehe nanyerire buya! Naye rende omogambi? :D:D

What’s funny my friend

Last ate ugali in 2009.

Ptu!

What do you eat then ? Tacos ama enchiladas

Hii mambo ya bake niliona na dame shiney eye. Wewe ni wa huko?

The trick ya ugali is it’s during the boiling phase. If u mess it up, hata upike 1 hour hiyo ugali haitaiva

Nigerian on ugali.
[ATTACH=full]217699[/ATTACH]

I drink uji like other civilized adults.

Uji is just liquid ugali, stop lying to thyself

Hii mambo ya baking ugali ni nonsense:
1.Wekelea maji kwa moto mpaka ichemke kama ya kuchinja kuku. Yaani over boil.
2. Weka unga kidogo kidogo ukikoroga as if unapika uji. Saa hii moto bado ni mingi.
3. Endelea kuongeza unga mpaka ikuwe a good paste. Not too soft, not too firm.
4.Paste ikiwa mzuri na unga ikichanganyika na maji, weka sasa moto medium.
5. Pitishia mwiko juu ya ugali ndio hapa juu ikae kama iko cemented. Ile style fundi anafanyanga akifanya nil kwa floor.
6.Weka moto kidogo na uwachane nayo sasa for five minutes mpaka uone imeanza kurusha geyser kama zile za Olkaria geothermal na ii forms fissures and cracks. Watu wa geography hapa itabidi mkumbuke physical geography kidogo.
7. Sasa chukua mwiko, uanze kuifinya sideways from top downwards ili iform a cone shape. Majamaa wa hesabu mpo?
8.Osha mkono vizuri, paka maji kidogo kwa mkono wa left, turn the pan upside down from the stove alafu uwekelee ugali yote kwa mkono wa left na urudishe haraka kwa pan so that the side that was at the top goes down and vice versa. Moto bado ni kidogo.
9.Repeat steps 7 and 8 for at least 3 times at intervals of 5 minutes mpaka usikie kaharufu kanakosema kwamba the ugali is now ready na itoe kamoshi kidogo na pia pale chini ianze kuwa brown kidogo.
10. Pakua ugali yako kwa tray kubwa.

Still on ugali, ati hizi mboga tumekuwa tukiziita majina yasiyofaa:
[ATTACH=full]217700[/ATTACH]

Boss uko na bidii. Nimekutolea kofia

Why

Imenukia omwami