How to get rid of urine smell when cooking kidneys?

Sasa leo nimeamua kupika kidney, after nimeeka kwa jiko iboil kuna kaharufu ka mkojo kametoka hapo ata nimeshamgaa…so wanakajijji nisaidieni on how to get rid of this smell

@ Gio,kuja kiasi.

Kidneys zlikuwa za nyani? Za ng’ombe na mbuzi azina io harufu

@MISCHIEF unapika kidneys at the start of month si mid-month utapika ngozi

hehehe ni kidney za ngombe napika kitchen hakukaliki leo

Kama hauna dhania just fart twice

its been long since nikule izi vitu si ati ni kusota

Like 4mankind said, use coriander leaves. I’ll also suggest you add a lot of garlic.

Unless unapika miguu ya ngombe, boiling meat ni kuiharibu. Hiyo unakata msuri, osha thoroughly, soak kwa vinegar ama soy sauce tia kwa mafuta moto/sear kwa pan/grill/roast.

Boss, kama harufu sio ya nyama…prepare your anus!!! Utahara uchoke. Otherwise kidneys na liver ni kufry tu, sio kuchemsha…

If it is fresh kata kidogo ukulele raw. You’ll never cook them again

:eek::eek::eek:

Become vegetarian and throw away the kidneys,simple.

Even liver is best raw. Straight from the goat.

Wah!!! :D:D:DNdingehota mani…

Kitunguu na nyanya itaingiaje kwa mix?

Why do people insist on eating waste products ?

Usiseme, kwanza jioni nimepitia Burma nikakula sembe matumbo fry, na nikabeba nyama stock ya kuweka.

A sick cow.

Organs are more nutritious than the meat.