moved to a house in ocha that had rats and seems they’re multiplying daily. Give me a good solution
Tafuta ile glue ya kitabu. As long as ukiipata imekwama hapo hautaogopa kugonga kichwa na kuitoa
is that a permanent solution?
Tafuta 6 black cats . Black cats huwa dawa ya panya
Ukiua hizo kubwa ndo muhimu. You can supplement na dawa. Shida ya dawa ni penye zitakufia uwaweza kosa kujua na uvundo itakumalizia kwa hiyo nyumba.
Spread copious amounts of cayenne pepper around their common paths. Rats get around by their sense of smell. The pepper operates to irritate their primary mode of manouvering about. Halafu pia Kuna Ile poison yenye zikikula inakausha miili Yao. Talk to your local agrovet about your options.
nilikuwa nimeweka ikashika ndogo..na dawa zitakufia kwa wall ndio maana naavoid
Indomethacin ile ya one bob? hio nimeweka kutoka forever kwa unga and seems they’re too many..sikuona ikiwork
Rats ni bad news
You could get rat poison. Mostly zinauzwa kwa streets. It works. Be cautious since rats reach sexual maturity after nine weeks, meaning that a population can swell from two rats to around 1,250 in one year, with the potential to grow exponentially.
sikuwa nataka zikufie kwa walls
Ultimately paka ndio dawa
In the meantime but pain killer inaitwa indocile ya watu. Ensure hakuna maji karibu
Fuga paka.
Wakisikia harufu ya jasho ya paka hawakaangi
Capture a rat, torture and rape it infront of other rats. Hang its carcus at the door to serve as a reminder to other rats.
Thats how you establish dominance in new territory.
Kuna ingine unakuja kama block unavunja pieces ndogo ndogo halafu unaweka kwa their usual paths. It works as a blood coagulant hence hakuna harufu.
name?
Why do you have hollow walls?
Kwa ofisi kuna ka panya kadogo niliona kamepitia kwa mlango kwa kale ka space.. hapo down…nkasema sitakaua. Nilikawekea food kakakula kakanona sahi hakawezi pitia kwa hio mwanya.. hivo ndio kaliwacha kunitembelea… ubeste ikaisha.
Usafi kwanza hizo kelele hapo juu haitasaidia.Keep your house tidy,any left over food must be covered.
Fyekka compound na uchome grass and dead leaves.Anyway very soon snakes will be your other worry.
kijiji lazima uzoee panya. When i go to the village, i ofund my house is used to store maize. The rats dance all night in the celing after stealing maize in the bags. Hizo ni sauti za kijiji. During the dry season they move into the grass and become super agressive from eating dry greass. Ukilala bila kuoga mdomo utarambwa hadi mapua. They also love smelly feet. Utatafunwa hadi kucha