I’m shocked most of you hamna special clothing ya kwenda kuona watu wa deepstate. In Kenya most of the holders of opportunities ni watu hawakusoma sana ama ni wale wa kuunganisha certifictes. They are very insecure and one small mistake of showing competition will make you lose out.
Cuzo alikwama nikaongea na my former boss amtaftie kazi. Kumpata kijana amevaa ile shati ya maua na watch, ilibidi tumepitia kwangu nikampatia shati imechanika kwa mabega ndo akasaidika. Mkubwa alinipeka kando akaniambia…“he looks healthy but struggling, let me see what I can do”