Hii ni ya elders wameoa… Mmekaa ndoa miaka ngapi?Kuna comment niliona hapa wakuu…kwamba ndoa ikifika mwaka wa sita inapata changamoto kadhaa…Nimeshuhudia ndoa mbili za watu wa karibu zikisambaratika na ni mwaka wa sita… What could be the reason?
![]()
14 years of marriage…we met in the university,dated for 3years and then nikaamua kufunga pingu za maisha:D:D.challenges ni kidogo sana on my side…mke mwema ni bahati buana…kupata bibi mzuri Haina formula
Bora ndoa mnaweka familia mbele hakuna siku mtakosana, lakini mmoja wenu akijiweka mbele au familia yake, au kanisa, au kazi lazima mtakatsiana
Mimi niko na 15 yrs
Rudisha hii umeffi mukuru
Chief malaya procuremend afisa hii maneno hutaki kusikia sababu uko huku nje ukilipa 150, kulamba tako na kukwepa visonono…gwacha elders watoe ushuhuda ghaseer!
Wankers na jeshi ya lanye tuchangie thread gani in the mean time?:D:D
18, 12 & 6 year old marriages.
Mine is @15 and going.
13 years
Hongera guys…wah. Mmejaribu.
Respect.
14 years and I can repeat the mistake of marrying her again and again .
Enyewe Bibi hutoka kwa mungu coz the way men have passed alot thru hands of hoes am abit lucky unless siku yangu ikuje but she is now growing older towards the wall wen she is yours parmanently
Lamba malanye micoondur polepole bila kuleta ushoga kwa hii thread Noble.shenzi
Na waseh wa ku co habit…i think collectively i might have broken a record…nimefuga kufuga wakienda.
[ATTACH=full]413434[/ATTACH]
Inaitwa 7yr itch.
“How To Beat The ‘7-Year Itch’ In Your Relationship | HuffPost Life” How To Beat The '7-Year Itch' In Your Relationship | HuffPost Life
11years
I have been in the PLANTESHEN=HAPPINESS for 1125 days and still going strong banae
Same here dated 3 years married 12 years total 15 years together no major issues.