HOW NOW! NTSA

:eek:
[ATTACH=full]112807[/ATTACH]

:rolleyes: K…H!

i have also seen these mostly on 14 seater

This was discussed here https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/vehicle-reg-no-kdh.44392/

sande sana for reminding us.

chinda iko wapi hata ingawa mwenyewe hajui kwanini tu-tennis ball huwekwa kwa radio aerial ya tour vans…

Poleni

I have used a car for 1 month now…the plates are taking long at the port yet I was issued with a KCM/D last month.

Old man uko slow ama ni kukejeli unatu kejeli

Wacha kumulikana unaharibu kitunguu

Sema UTOP ndio tukusamehe

si ungekuwa kasarani utunyakulie hizo nishani zimeenda na wa-Abyssinia?

Kiswahili wanaitwa wahabeshi

naaani alisema tuko hapa kuonyesha ufasaha?

Hate speech boss

kwa nini sasa mkubwa?

Sasa mtu anajaribu kurembesha alafu unam mulika

Mimi sijui…ebu sema

ni ya kuzuia kuharibu body ya gari juu ya whiplash ya aerial. ina-cushion impact aerial iki-swing…

Nkt