How much?

I have about 429/- in the bank.
How much more do I need to get this ride spotted here in Nairobi? [ATTACH=full]160574[/ATTACH]

hio ni ya chris kirubi’s son

Swali ingekua which bank do you need to rob. Hii umeuliza ni ngumu sana

Gari hizo expensive sana huwa sipendi zikipark next na mimi kwa mall. One wrong turn, and you are financially doomed.

you clearly don’t own a car!

sell all kidneys in the village apo sasa unaeza pata pesa ya deposit as u pay pole pole

I don’t think so. It has the ‘Waheguru’ icon. Hii ni ya Patel flani

hio “roof” tandarua ya convertible inaweza raruliwa na kisu sharp ama panga?
Cc @introvert

Uko na nia gani?

Panda mbegu na Kanyari na zitazaa hadi zitoshee za kununua hio gari

Hehehe. No idea.

wewe ni wale wanafanya tuweke gari rivet kila mahali?

Haha mimi kama mbirrionea nataka nibuy soft-top convertible lakini naogopa uvamizi. Yaani you lock your car lakini jamaa ako na wembe can slice into your car. :smiley: :smiley:

Cc Rene Descartes

My exact thoughts! Though I neither own one

Yeah saw a similar one jana usiku at Msa in some hotel.

:D:D:D
Sio “break into your car” anymore?convertibles ni shida. Or its roof jams na mvua inafika

:D:D:D unanikumbusha zile vitu nmejionea na gari hio njia ya bus station kwenda Ronald ngala . Damn!!