HOW MUCH IS WIFI INSTALLATION

Wakubwa naambiwa 12k installation. Is this the normal rate?

Want to install this thing deep in the village. Kwanj litebeam ndio inaraise the cost?

Following

who is the internet service provider?

I think ni reseller.

I just want to know if nagongwa or if that’s the range

I cant remember how much i paid for installation. But i pay 3700 per month and it covers the while boma. Safaricom.

Kaa ni saf. I think installation ni free

Akuna kitu naogopa kama iyo wireless internet. Its waay too unreliable, especially ukiwa far away from urban centers.

Kwani ni kerio valley pale suguta kwa kina @Gaza

Cost huwa mangapi mkuu

Ngoja starlink

how is it? Is it reliable?

I think iko sawa juu niliona safcom router ni 10k

Unagongwa, Ili cost 7500

Kodiaga unatumia bundles bado? Hasara tupu. Safaricom ni matapeli kweli kweli

niko kwa wifi chief

Buy your own litebeam then waite… With me I had to buy Nanostation 2 coz that is what they wanted. so I just paid for service pekke. The Nanostation nilinunua second hand 3k

Mahali niko I paid 10k. That amount included Litebeam, router, cable, labour and 1 month ‘free’ WiFi usage but sasa hapa ni town. Huko ocha sijui itakuwa aje.

:cool::cool: safaricom wangekuwa wamekumaliza

Lite beam itawork kweli ukiwa Embobut

Nimeona a neighbor deep in reserve ako nayo

Iko sawa