How Much do Secondary School Teachers Earn Net??

Imagine having to put up with this nonsense as an adult. Niliwaambia slavery never ended, it was just remodeled. The threat of violence was replaced with the threat of starvation.

That’s why Muhindi na Chinese ananyorosha Mwafrika viboko sawasawa kwa site akichelewa by 7 minutes.

[ATTACH=full]482786[/ATTACH]

Ebu ambia hao walimu waende watafute nyumba nje ya shule uone vile watakunja mkia wakilia. I guess ni regulations za KNEC

Hio ni Sheria to curb cheating in KCSE which has become a tradition…Siku hizi kupata A ni kama kushuta.

Hiyo ni sheria ya kuzuia wizi wa mitihani. If you are seen loitering in the school compound you can be arrested unless you are the principal. Not a new thing. I used to supply vegetables in a certain school last year during the KCSE period and I could only enter the school after the papers are through. Yaani from SAA nane afternoon.

Hao ni watu who dont value themselves. They cant think beyond their comfort zones ao wacha tuu watombwe. Kuna jamaa aliwahi niambia nafaa nijue the value of my time. Nijue one second, minute, hour, day, month etc of my time ni pesa ngapi. Ndio hata msee akikuita mpige story unafaa ujue hio time utakaa huko itakucost nini. Tangu nijue hio maneno siku hizi hata clients wengine huwa nawaambia watembeze kiatu if I feel I am wasting my time kuwahudumia.

Kama kuna mtu siwezi hurumia, ni mwalimu

Ulitombewa bibi na mwalimu?

So what’s your hourly figure??

Leta 1500. Na hio ni kuongea tuu tukiwa hapa Nairobi. Tukianza paper work ama an element of out of town travel lazima utoboke zaidi.

I was 5 minutes late for preps, Nikaambiwa nitoe shati nilale kwa meza, nikavunjwa na whip, wakasema nikiambia mtu they’ll make sure I fail and never get a job, wish I knew better at the time. Anyway left Maranda high school and never even went back for my KCSE leaving certificate, that was almost a decade ago. There was a girl in KU I met through tinder , we went on a date, akasema anasomea biology and Chem kuwa mwalimu, that was the end of the date…nachukia walimu

Bei ni 150.

Hio ndio wazae hukupea kuongezea kwa pilsner na nyama? Is it hourly too ama?

Teachers are Meffiii in my eyes.

I think teachers make about 100k

Sorry for your predicament. However…

i) Failing to pick your school leaving certificate because of an event that happened to you in the past is stupid.

ii) Dumping a girl without chewing her because she is a teacher is more stupid.

Which teachers?

Senior teachers in high school. Kuna mmoja huwa najua ako almost 200k but ni senior alafu halipi tax juu ni disabled. Alafu principal huwa wamekafunga juu ni wao who manage school funds

Baasic TSC teachers

Yeah kuweni specific cos a C1 teacher earns a net of 24k
C2 37k
C3 47k
D1
D2 etc

hapo kwa kudump dem na hujamnyandua ni ufala. before dumping ensure umefikisha threshold kwanza. blali nugu!