How much are you paying your matatu drivers?

Sio viile. Kiasi tu.

Not really, sasa ni wapi napatana na hii group ya watu vichwa ngumu makangas, mechanics, cops, mungiki and kamagiras. Hata hawako nowadays, watu wanajituma.

Makangas kuna hadi wamama, mechanics huwa hawana mambo alafu you deal with a certain group sio kila mtu, cops huwa sio shida, wakishakula yao ni hivo na ni mia mia, mungiki waliisha juu kuna SACCOs, kamagiras, hawa ni driver anaamua na lazima awe na msee ana trust again kwa saccos hakuna kamagira juu wanafanya job na shifts (inategemea na SACCO). Challenge ya mat kubwa ni upate a careless driver msee anavuruga gari.

Dere na makanga hawalipwi monthly inakuanga daily. Na si ati wanalipwa na investor ni wao wanajilipa. Mwisho wa siku investor lazima umetumie offload, lazima ulipe doo ya management, gari lazima ueke mafuta full tank na pia iende car wash. Depending na vile kazi iko, on a bad day mnaeza enda home na 1500 kila mtu. On a good day kila mtu anakula 2500-3k. On any given day, matatu hulisha mtu nane: investor (mwenye gari) lazima umtumie offload, kamagira lazima umsort zake kwa stage, karau lazima akule mia yake, lazima ulipe 1500-2k za management, lazima ueke ngata full tank itakukula 14k (with current fuel prices), lazima ueke 500 ya carwash kando alafu pia wewe na dere lazima mkule. Wewe kama makanga ndo unapanga dere wako. Mechanics unadeal nao gari ikienda service ama siku gari imeharibika na unadeal na mechanic specific mwenye anaelewa iyo gari. Ngori ya kufanya job kwa mat ni ati unaeza dandiwa na karau akupeleke stenje upoteze time utupe mbao ivo tu, gari inaeza haribika midway mkiwa job, mnaeza gonga msee ama mgongwe ikuwe kesi na pia unaeza amka ngware upate uliteng’orwa gari na hukuambiwa, imagine kurudi home iyo asubuhi yote na maybe ulikuwa umepiga hesabu zako. Kuna siku pia mnaenda home nunge, iyo biz pia huwa tricky.

4 Likes

Uliwacha kupumua kwa maskio ya @Kanguthi ?

Seems kwa management ndio pesa iko! Those tunonos eats really good considering the number of new and old Matatus in Nairobi and its satellite towns alone!

Kwa management na pia kwa shimo kuna dooh. Ukibeba shimo lazima uache 200-250 depending na sacco. Na shimo ni mbili. Kuna shimo ya tao, na pia kuna shimo mwisho wa gari mahali mnageuka alafu mnaanza safari kurudi tao. Alafu pia kama ukona mamorio lazima unawapiga mabakuli za chwani ama soo.