How much are you paying your matatu drivers?

I’m getting all kinds of figures.
@Yuletapeli kindly give some insight.

How much per month? How much paid time off and other incentives?

Thanks.

Drivers and makangas are not paid on a monthly basis, ni ya kila siku, as the investor, i have a target wanatuma yangu, wanajaza mafuta, wanalipa management ya sacco na parking, na car wash jioni.

4 Likes

More mat dere’s are paid 1k-1500 per day depending on size of the mat

1 Like

Mshefa apate hesabu yake, wajaze gari mafuta, carwash na parking…whatever remains ata kama thao kumi ni yenyu(dere na makanga)…simple terms…this is on a daily basis…

5 Likes

Na hiyo target ni?? What is the figure?

1 Like

Inategemea na condition ya gari. Nikisema target zangu si mtaona mimi ni mbirrionaire jameni na vile nachezanga chini banae.

Gari mpya yenye haijapimpiwa.

2 Likes

uliza makanga @EL_CUCUY

Please tell.

Thank you

1 Like

Gari mpya hio bado iko na Loan heri gari za miaka nne kama KCZ KCY KDA na KDB

1 Like

2 Likes

There was a time nilikuwa nimekaa kwa matatu near the door nikaskia the makanga akisema leo ametoka na 2,000. It was a umoinner nikashangaa kwani how well does the matatu pay

1 Like

Gari lazima iwe pimped. Ngoma, telly na hata WiFi. Competition iko mingi sana.

Siku ikiwa poa hata 2500 huwa wana manage that’s why we set targets, na hatutaki kujua juu wakiwa na siku poa they won’t tell you.

The good thing about mat business huwezi kosa pesa

Si lazma gari ni branding Nimewahi panda metro ilikuwa latest KD something. That car was nice na haikuwa na tint funny funny drawings and bumpers, tv, wifi na woofers.

Dere alichunisha classic 105 na volume kwa umbali

1 Like

Itapigwa kompe wazimu, suppose ilikuwa inaweka ten sahi inachezea 9k. na after six months itakuwa ya 7500-8k

Na hizo coaster/ hino za wazungu rate yake ni

1 Like

Hizo sijawahi jaribu but lazima kuna doo juu kuna watu hio sekta, huwa sawa kama ukona wageni wako wakikam waichukua for one month unakula fiti.

In short @Yuletapeli analetewa 10k per day na matatu Moja. Kama ako na matatu tano hiyo ni 50k. You must be so liquid niga…
Sonko akiwa govana alisema matatu yake moja inampwa 40k per day, was left Wondering

1 Like

Mpee 8k matatu tatu mzee maximum. Its a nice hustle kwa msee ana personality ya kudeal na vichwa ngumu makangas, mechanics, cops, mungiki and kamagiras. Mimi huona hiyo industry kama hujiendeshei ma3 yako it demands a certain personality yenye most men don’t have. Ukiona biashara mhindi hafanyi kuna sababu.

2 Likes