How much are BasiGo paying these matatu saccos to "buy" their electric buses?

[ATTACH=full]495926[/ATTACH]

Super Metro announced the introduction of its first electric bus. The 25-seater vehicle will ply the CBD to Kikuyu and CBD to Kitengela routes. Metro Trans and City Shuttle have also bought them. How viable are electric buses in the matatu industry? Something is not adding up. …

why do you doubt the viability?

wacha uchokozi

It looks built like a bus to be used by a civilized people. It doesn’t exude chokora attitude.

Hizi buses ni poa sana. Because it uses electricity, you reduce the running costs by 60%.

Alafu hazina makanga wana-shout kama wanagonga mlango.

Banae. Watuekee ma grafitti. Matatu culture.

Hii iko plain sana

Chokoraa mapipa mentality… @admin ban this one.

Its just a bus man there is no conspiracy there, its not getting driven by small kids in the engine compartment.

Wish more saccos would take this route. Tumechoka na kelele ya nganya.

Jaribu hapo kencom ama ambassador. unaeza enda route mpya na ikurudishe
hii kwanza inakimbia kaa nansense
[ATTACH=full]495947[/ATTACH]

Joh! Na matv ndani:D:D:D

[ATTACH=full]495968[/ATTACH]

This is the Green Agenda globalist bullshit that’s what it is

Following closely…

Maintenance cost…:D. Hapa sisemi kitu. Wacha kwanza ni mark calendar nitawakumbusha hii siku ya Leo.

Na vile hii nopia imeweza na hawa wenyewe hawajawai complain. Hao wanacomplain lack of charging ports pekee na inaeda 150km. Sasa chargers zikiwa kila mahali na iwe inaskuma 300 km?

Bado investors wanaiangalia kwa umbali. Moja inachezea 5.5 million. Shida ni haijulikani inaweza dumu muda gani. Alafu pia unapata hizi zinatumika ku test market ziko in very good condition sa utapata zile zitakam zitakuwa na mashida mengi. Na pia spare parts bei haijulikani. Kwa sasa zinataka mtu akona pesa kwa wingi. Mtu wa wash wash.

Very pessimistic

Maximu speed?

I see one (just one) along my Buruburu route, plies the Dandora-City Stadium route. Has been here for well over a year now…it’s a commuters’ favourite, but I wonder there haven’t been more of them buses

As an investor you pay more attention to the negative side. Rule number one: Do not waste your capital.