How many times have you slept in police cells?

Mara ya first nilichapa Bibi ikabidi nimewekwa ndani karibu nifungwe five years with assault charges but God akanitoa. Second time nikagonga jamaa na moti nikiwa gauge ikabidi nilalie simiti but my deep pockets zikanitoa next day. Third time nilikuwa nafanya club hopping time ya curfew nikashikwa nikakataa kutoa hongo na kutusi makarao. What about you wadau?

:D:D:DPole ndugu

:smiley: umepitia mengi shifo. Swali, ulichapia bibi nini? Hatukujui kama mpenda vita…

Cells were made for MEN.

KUNA TIME TUMESHIKWA TUKITRANSPORT 30 ERITREANS.

Hekaya for another day

1 Like

download.jpg

Madharau ya wimens

Leta hekaya mdau

Asante bro

Tuseme Usha okota sabuni

Nimelala ndani mara moja tu.

I was in form 3 and I had sneaked out of school at night and went to a brothel to sample lanyes with my pocket money.

Shot ilikuwa 150, fixed price.

Venye nlikuwa nlikuwa kwa room, polisi wakakuja brothel kama wanashika kila mtu – the lanyes and customers.

Karau alikuja kwa room kama amevunja mlango akanichapa nyahunyo ya mgongo kama napeana strokes.

Next thing I know tukarushwa kwa Landcruiser alafu tukakuwa booked police station.

It was a very long night sleeping on that cold concrete floor. Alafu mosquito zilikuwa mingi ajab.

The next day nikapewa punishment ya kumwaga ile bucket huwa imejaa mafi ya wafungwa kwa pit latrine ilikuwa kama 200 metres kutoka kwa cell.
The bucket was heavy full of shit and urine!!!

Juu ilikuwa mzito kuna mkojo ilikuwa inamwagika kama nabeba hiyo bucket. Alafu karau ananirushia mawe kwa mgongo na matusi kila time ikimwagika.

“Kumamako ukimwaga tena utalamba na ulimi”, I vividly remember that stupid Warriah police swearing at me while projecting stones on my back.

OCS venye alikuja tukapewa slasher tukate nyasi police station mzima. I was broke. Ile pesa kidogo nlikuwa nayo ya kulipa makarau, hao wafungwa wengine waliniibia venye niliingia cell.

By the time we were done, it was 4 p.m and I had blisters all over my hands.

After that, we were released. The good thing is the police didn’t know that I was underage or try to communicate with my school or parents.

So sneaked back to school during prep time at around 8 p.m. Kuna mmoja wetu alikuwa amehepa kwa brothel akarudi shule kuchapia watu story.

Nilipata watu wameanza kuchanga doh ya kunitoa kwa cell. But my parents or the school administration never knew about it. In fact, they didn’t even know that I was missing for 2 days.

:D:D:D:D:D:D

Damn you really had some night,but how did you manage to ace on studies having the ktalk knowledge of lanyes and fixed price at that juncture?

K-talk didn’t even exist at that time.
That’s like 15 years ago.

I meant with ktalk knowledge how did you bla bla

:D:D 15 years ago ulikuwa unakula vitu na fixed price. @cortedivoire umeskia hio injili

So @Kumbaffu uko 32yrs

ulianza lanye in form 3

There is a classmate who was fond of sneaking out every weekend to sample lanyes.

Yeye ndio alikuwa anatuambia maximum fixed price and how to negotiate with lanyes. He even knew most of the lanyes by their names, and the best brothels in town.

I have landed “inside” on three separate occasions. The longest I stayed in was kitu 18 hours (my first arrest). The other two were during the covid curfews

Nimelala mara ka five zote drunk and disorderly