How many pairs of shoes should man, a descent peasant have? Mbirrioneas please, musiongeleshe peasants vibaya.
Shoes as in ugly chics you hit But cant introduce to the boys?
Hili swali kesho rauka uishie pumwani waweza saidika huko.
Surely… it has come to this?
chokosh, kuna peasants husurvive na pair moja. uko na ngapi?
Mingi mseh hata Sijawai hesabu
jirani uliniabilia kiatu ukirudi kenya
Hiyo swali uliza hawa majamaa kwa pic, Waulizie Kapa pale Mombasa road.
Good for you umebarikiwa.
Sijasahau…si nizile timber… Lakini na hofia luggage iki exceed maximum weight hizo timber iko among the list of things to offload first so cross your fingers
i do
Si kubarikiwa viatu uku ni cheap mtu wangu. Kitambo nilikuwa mtu wa kununua a new pair of shoe every month pale footlocker.
A pair of jeans and boots should never miss in a man’s wardrobe.
Regards,
Shiny eye
100 euros might be cheap Lakini huku hiyo ni rent plus doo za stima plus doo za maji na doo za mneti ya bedsitter yangu. So cheap ni pesa ngapi?
3pairs si mbaya. Official moja na casuals mbili kama wewe ni sufferah .
staki kutaja cheap ni pesa ngapi but hio reply yako imegonga point
Kama huna viatu mob enda mskitini Friday saa saba
Sema tu no harm
23 for me :):)…and I still feel like these aren’t enough hehe
[SIZE=2]120 euro[/SIZE] hivi
maboyz wangu ukuvalia viatu ya 200euro mseh