How many kids do you plan to have

nimeona pahali kwa thread an elder saying ako na mtoto mmoja na habanduki na hashtuki na societal pressures or family. Are you okay with having one child?

Wewe si ushighulike na ya kwako, ama utakuja kusaidia kulea?

@uwesmake tukumbushe ulisema wangapi is perfect?

watu wajikune kulingana na uwezo wao

Najua clichy but niliskia Kuna wekesa , shikwekwe , wakoli na kadhalika

Kuna makoha pia

2-3 hopefully.

Zero

Unajikuna pahali mkono inafika bwana. If you can afford to raise more then why not… Wale najua ni watatu hao wengine nitasikia kwa eulogy…

3, at least mmoja akiwa mwizi unabaki na wawili

Mimi nilikua nadai mmoja…wife Naye akacheza kazi take akaniongeza Mwingine…so I have 2 na venye ananiangalia off late naona watatu akicome…hii freedom yangu imeenda.

Mimi nilikua nadai mmoja…wife Naye akacheza kiyeye akajiongeza Mwingine…so I have 2 na venye ananiangalia off late naona watatu akicome…hii freedom yangu imeenda.

My 3kids are enough…siwezi ongeza hata moja.

Hehe anakuangalia vipi

It is better to have one kid like the late CS Magoha and give the child the best instead of having a trail of kids, only for them to end up suffering like sewage rats.,. Hujawahi ona familiar iko na 10 kids and none of them is successful Wanazaana kama with limited resources generation inaendelea kuumia

Kama uko na pesa angalau 2kids…single kids are very mean coz they didn’t grow up sharing anything…kila kitu ilikuwa yao…so wanakuwa spoilt even in life…not all cases though

Wanaume mumekuwa waoga sana. Life was tougher in the 80s - 90s and our fathers managed 4 or more kids

My mzee managed 17 children and four wives :D:D

niko 7 DNA certified inhouse and outhouse . target ni 30 then naweza dedi in peace .

hakuna haja uzae mtoi mmoja ukifika 70 years mtoi adedi na accident or akuwe homosexual kama @Douchebag or other bullshit . zaa watoi hata mmoja aki dedi depression wont kill you . na uko sure heir wa IRON THRONE yuko.

kwanza mimi Clichy aki ingia 1st year YALE University napiga arranged marriage na mtoi wa beste yangu na bibi azae by the time anafika 2nd year . lazima nione great grandkids sitaki ujinga mseee .

Will yangu naacha kwamba lazima UWESLETS waoe na wazae DNA certified kids ndio wakaribie FULL inheritance .

Mapipaa uzaa Machokoraa!