[MEDIA=twitter]1548742359566934019[/MEDIA]
MEDIOCR…?
Meme created by a D minus to low IQ audience.
nimeona thumpnail pekee
inakaa kama trustworthy and camaraderie exercise
Nothing wrong. Watu wajibambe.
Ni watu kama wale wengine.
Si mafunzo yoyote, hata mtu yeyote anaweza bembea kwa raha zake tu. Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo. Hatua nzuri kwa idara.
Kazi Ni hiyo na kushika mabangi.