How is it living and working in Qatar?

Depending on the job you’ll be doing,your salary will determine your cost of living . Are you provided single or shared(7-12 people),? Are you living around downtown ama umetupwa in some empty desert quarter?(google the address ) . Rules are stricter there than UAE but you can circumvent them bila shida bora uskuwe mtu schoovit ushikwe . Kama wewe ni wa mikono utafanya kazi 12 hours na one day off,leave after one year. Job za nguvu utapata 4days on 4 days off.Learn the basics of the language,itakusaidia.

@Thirimaii we unapenda matako at this place you would really thrive:cool:sisi watu wa kuma dryspell sio tafathali:D

umenisahau na niko huku asian City

Kumbe huko Baghdad inaswagwa vilivyo…sasa ukikatiwa na mwanaume mwarabu huwa unablushh aje

:D:D:D

Umepika lunch nikuje na chapo…ama we unapewa mashakura na kampuni…niko grand mall saa huu

Thanks sana mzito. End of next week will be there.

Hii mngoja kifo ndio gani? :smiley:

As per the offer letter, work is 8 hours a day and 1 day off/week. Accomodation is shared - 4 occupants per room. There’s food allowance.

Depends on the Job, Ka ni Corporates uko sawa, COL ndio iko juu tu

too late nafika hapa musheireb… ukiona T601 simamisha nikupee lift

alaa…kadere wa karwa…nice…have a beatiful day…one of my friends is an instructor uko karwa ndio anafundisha madere wa tbs route

Cc @Jagadish Ekuma
ION, naona soon tukifanya bash ya ktalk uku kwa Abdul. The family is growing.

Ambapo wewe ni team Karwa. Will visit apo Asian town one of these days.

Are you also in Doha? From the appointment letter, accomodation is in Ezdan Al wukhair, shared accomodation.

Nakuja huko

Nikujie na unga gorogoro tatu plus omena…

Hehe … unaitisha unga kutoka mtaani na vyenye zimejaa uku. Ingia any Ansar gallery ujinyakulie buana.

Kumbe we ni jirani

[QUOTE="The jacckal, post: 3947370, member: luka block 16 I buy you kalak