How far for those in the know?

https://www.youtube.com/watch?v=dytqJbz4gvk

Mtu ako na 1 ball anaweza kubaliwa kucheza football na FIFA? Swali tu hahahahaha

Alafu it’s Ruto telling all those lies.

Usiseme hivyo kuna mtu ata-catch.

Priorities changed, now its focus on the big four agenda

my fren, tena kuna mse hapo tweerah alipiga picha ya one of the sites… dust tu na mandege zikipitapita zikishonde

that’s coz they wasted their first term stealing public funds …

:D:D:D:Dkwani watacheza ball yake…wacha uchokozi

ati atabaki hana kende ikipigapigwa?:D:D:D:D:D:D:D

Majaab. You’re talking about yourself in the third person.

Nope. You have never understood me because you judged on my opinion on one subject.

This is one of the clips I hate. These two fools lied to ass. Stadium ata moja hakuna wamejenga.

Waliwadanganya nyinyi sisi wengine tulijua hio kuongea yote ilikuwa tu kuuza ndoto.

[ATTACH=full]243180[/ATTACH]