How do you tackle this?

My baby sister ameniuliza advice and I quote, “nipee advice moja ya relationships nijue.” She is a first year. Sasa hii unajibu aje.

Weka number tumpee advice

Muambie kiualehadro kile unafanyanga

Mwambie aweke masomo mbele, maneno ya relationship awachane nayo hadi siku atamaliza campo, otherwise atatiwa mimba na atawaste 1 academic year ama aanze kutoa mimba ovyo ovyo

You dont ask a fish how to fish. You ask a fisherman. Mwambie aulize a close older female relative or friend who is in a happy marriage. As a guy, you are not the right person to offer relationship advice to a young woman. Wewe experience yako ni totally different na yake. She shouldn’t ask a man how to date men, the same way you wouldn’t ask a woman how to court women.

What course is she doing? Kama ni cheap course that has no direction then already itakuwa ngumu because she’s going to need to rely on a man for her upkeep. Advice her that relationship and life happiness are very closely linked with money. She should study something with the highest ROI possible ndio apate pesa mzuri that will help her avoid tolerating a man because of what he can provide for her. Point number 2, absolutely no relationship and no sex until after she has graduated school and secured a high paying job.

You are right. Nilikaa chini nikaona advice yangu itampoteza tu because itakua based on the heavy heartbreaks nimepata.

Umesahau kuweka waislamu mbwa hii

She is a sharp girl alipata A plain anafanya medicine. It has always been her dream

How are people this naive? Unadhani wanawake hawana nyege? Stop dreaming. Maybe aweke family planning na protection asipate ball before degree lakini kudinywa ni lazima.

Congrats are in order. Mwambie her target is going abroad, US or Australia. She’ll be so comfortable in life as long as she maintains that discipline.

Thank you @chap

Send her to me…i will give her best advice ever

It’s possible to remain a virgin until marriage. You’re supposed to encourage young people to set very lofty goals in life… “Aim for the moon even if you miss you will land among the stars.” Sasa if you tell her to aim for promiscuity, she might end up with several ab.ortions and maybe even dropping out of medical school.

Rusha number mkuu…kuna agencies zinatuma wasee majuu akimaliza nursing…send me her number i keep in touch with her hadi amalize chuo

Lakini kusema ukweli… ama wacha ni wachane nayo :smiley:

Huyu nalipia rent aise

@MTINGIZA KITANDA!!! Wewe ni kasia sana na nilikuambia ile siku unahitaji therapy ya sex addiction. Lakini hii yako ni kama ni mapepo.

@Benn Dover mtupie link ya kijiji. @TrumanCapote will be of great help Hadi amalize shule.

Hapa naweza chukua whatever radical advise ya @TrumanCapote very seriously.