How can i counter this. IT tech nisaidieni

Waarabu wametufungia all social media. cant even listen to music on youtube or online streaming radio. hata jela kuna music. @kush yule mnono umetoboa kweli ama wewe pia umeshindwa. hebu nipe update kunaendaje.[ATTACH=full]26426[/ATTACH]

Tor browser

what is this?

A browser that unblocks blocked sites

Google.

try epic browser. It has a vpn that can be toggled on and off. Hopefully it should let you get round the wall.

1 Like

jaribu kutumia http://www.zalmos.com/ kuaccess youtube au http://www.nurbax.com/ au

all blocked

zalmos.com is blocked. but thanks nurbax.com works. let me enjoy my favourite music now.

2 Likes

Kwani uko nchi ipi kiyana?

jua tu niko uarabuni

1 Like

Ultrsurf is the answer

blocked

cyberghost

blocked

then just go to youtube personally and demand to watch what you want.
wear a mask so that they don’t identify you.

1 Like

Si unaingia Ktalk? Afadhali urithike na hiyo kwa wakati huu, bwana! Chrome always warns you that with internet you will never be anonymous to everybody! Sasa upatikane na hiyo serikali fidhuli ya Kiarabu!!! The reports we get from those countries of their harsh punishments should dissuade you from needlessly transgressing their backward laws!

Maoni yangu :):slight_smile:

1 Like

very true. nimeridhika na ktalk. but i still dont know why all social media is blocked. this has never happened before. Anyway ni sawa tu. sim card yangu ilifinywa last year coz ya kujaribu kutafuta ngono. Lakini nilienda kwa mobile subscriber wakarudisha. sikuuliza kwanini ilifungwa sababu tiari nilijua na sikutaka mambo mengi ya aibu. tangu hiyo siku xxx niliwacha kutafuta kapsaa

2 Likes

When info starts getting filtered or is inaccessible in a country, its time to leave that maafaka

2 Likes

utakatwa deki for watching porn chukua arimis. Palmela Handerson has been declared halaal

2 Likes