Wadau, nimehamia new town ki kazi. I got a house agent and I needed a one bedroom which I got. He then told me there is a vacant three bedroom hataki ikae bila mtu niingie kama caretaker nikimlipa pesa kidogo tu, akipata mtu nirudi kwa nyumba budget yangu. He claims it is very hard to get three bedroom tenants in the town. Am yet to see the house, so my question is, is this a worthwile offer to take given I have a young family too?
Suppose u get comfortable in three bedroom with your young family halaf caretaker apate a client who can afford it? Tafuta nyumba you can afford and settle without feqr of being evicted anytime like kina @Cross Fire huko oyole dumpsite
Chokosh niaje. Leo naona uliamuka vizuri akili inafanya kazi. Kiangazi iko aje pande io. Hapa Kapedo jua imetwanga rustlers design ingine mbaya mbovu.. aisee.
yaani mnataka kukula pesa ya landlord na caretaker? Avoid
Agent atakupigia on saturday jioni akuambie by Monday asubuhi kuna tenant anaingia. Na ju alishakuambia 3br kupata tenant ni ngumu itabidi umetii, plus no contract means no notice.
umeenda huko ki kazi ama umeenda kuwa caretaker?
Uko sure hio nyumba ingine itakuwa inakungojea mtu wa 3 bedroom akifika kukuchapa exile? Na uko sure bibi atakubali kudowngrade after 4 months of living like a queen in a 3 bedroom? Rent the one you were initially going for. Tafakari haya kaka.
Pole sana kiongozi , Huku si kubaya vile . Siwezi kids ngunia kadhaa za mahindi .ntafika kapedo na kilo kadhaa tufanye barter trade na ng’ombe as long as hazijatoka kimilili ( uwesmakendee rapes cows huko kimilili like a rabid dog)
Stop complicating things tafuta one bedroom na utulie.
When the deal is too good think twice kiyana.
Boss you need to centralize your family, uki pigwa transfer tena uta anza ku park vitu na kusonga na hao tena, kuta futa shule etc?
Ni yeye mwenye agency/nyumba
The village has given me a feeback I needed and my instincts were right. Wacha niishi one bedroom yangu polepole
The guy is greedy. He knows what the right move is lakini ako hapa trying to justify his already made up decision to go for the 3-bedroom. One thing nilijua about people who ask such questions hukuwa wamemake decision tayari halafu anaanza kufish for reasons to justify the decision.
Kazi yake ni caretaker.
By the way, come to think of it, hio deal inakaa fishy. Ni kama agent ndiye atakuwa anakula hio pesa. Landlord atakuwa anaambiwa mtu hajaingia kwa 3 bedroom bado. I think @nobert should just settle for the 1 bedroom. Hio 3 bedroom utakuwa unaishi ukiangalia your six, coz you won’t know the day or the hour.
House agents ni kama land brokers, kuna mchoro fulani hapo wewe ndio haujui na kukilipuka wewe ndio utaumia.
That is not even a sweet deal, it’s stinking fishy. Kwani nyumba ikikaa vacant shida iko wapi? The guy is using you to hoodwink the landlord. The landlord is told hakuna tenant walifika bei and you are the only serious tenant amepata so he agreed to lease it to you at a lower rate. When he gets a tenant he won’t tell the landlord. Landlord will be receiving rent ya hip rate yako and he pockets the rest.