[ATTACH=full]177166[/ATTACH]
nasikia zee la kongwa limezuia ripoti ya upinzani kusomwa! !
Ilikuwa iwaache uchi wakashtukia
Watu wengine kuwa nao ni laana kwa taifa.
Kama ni kweli basi hawajafanya fair
shenzy! wamezuia bungen, bas tutaita waandish wa habar na tutaisoma live!