Hottest day ever

1 Like

31 isn’t hot , kitui Jana ilichezea 34

5 Likes

It could go +4 or so next month when the sun goes overhead equator. Hii ni warm up tu.

1 Like

Jana ilifika 33 kanairo around 2-4 pm.

1 Like

Ati some parts huko Kithyoko paka na mbwa lazima zipake mate kwa vidole kabla zivuke barabara athawise itafika ile side ingine miguu ikiwa nyama choma?

4 Likes

Penda jua

Mmemaliza winter?

1 Like

Only for today :joy::joy::

1 Like

Home, sweet home :smile:

1 Like

@PERDITION huko kitui ni kubeba salt juu wagido iki die inakua instant nyam chom kazi ni kuongeza salt

2 Likes

Kwenda kabisa climate change is a hoax

1 Like

Ungua kabisa, si ni wewe ulisema kupanda miti ni upuzy