Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.@SuluhuSamia afungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 28 Agosti, 2024.@AngellahKairuki @tzbranding
Baada ya Kikao Jana kulikuwa na Party ya wakurugenzi na wafanyabiashara wa Arusha
Mnajifunza nini kuhusu maendeleo haya ya kisasa ya Tanzania?