Kuna time tulikua mombasa na maboys. Tukaingia matatu ati tunaeenda Kilifi kutei. Hapo Bamburi kuna dame flani extra hot akaingia matatu. Aliposhuka Mtwapa safari yangu ya kuenda Kilifi ikaishia hapo. Pia mimi nikashuka. Maboys kuona kiongozi nimeshuka pia wao wakashuka. Nikasalimia dame nikamuuliza kama ni mwenyeji wa Mtwapa. Where can we go for the best fish in town? Akasema basi atupeleke. Akapanda boda boda, nikapanda naye, maboys wakachukua boda zingine tukaenda sisi hao hadi Copa Cabana beach. Samaki na mabeer zikaflow hadi nikawa tipsy.
Nikaambia dame ni late, sisi sasa tunataka kurudi home, but anipe number nimtafute baadaye. Mwanamke akadai ati hana simu imeibiwa juzi. Nikasema no problem, turudi Mtwapa town nikakuchukulie kabambe na sim card. Sisi hao juu ya border borders back to Mtwapa. Kuingia duka nashika mfuko, sina wallet. Balaaa! Hata kulipia na simu naona sina simu. Ahh nikashow maboys, joo nimepoteza simu na wallet si mtu anipe kathao ninunulie hii Kunguru kabambe ya kuongea na yeye baadaye. Maboys wakadai hawajabeba pesa wote. Nikajua ni kukaziwa nimekaziwa.
So anyway, simu haikununuliwa. Instead nikamwandikia number yangu kwa karatasi na kusema kwaheri. Tukingoja matatu ya kurudi Nyali kijana mmoja akanipa kibare moja moto sana na kuniambia kumbaff. Pombe gani hizi? Kunguru hawanunuliwi simu. Nikarudishiwa wallet na simu. Kumbe walipogundua kile naenda kufanya walinipokonya.
Anyway, the Kunguru still found a way to contact me. Tukaanza kunyanduana in a semi relationship. Tulikua tumekua close hadi msapere wangu flani wa Nai walikua wamekua best friends. Tukilala bed unatukuta sote watatu. Saa hizo marafiki wake wananiambia she’s a hardcore prostitute, saa hizo pia hao marafiki ninawanyandua tu. Until I realised nikienda out nimebebana na makuro wengi sana, I had to dump the entire entourage. Sijui hio period yote ilinicost how much, but haikua pesa ndogo ukiongeza mascam nilikua napitishwa nikijua tu ni scam but sijali. Hio kunguru ilikua “inapoteza” simu kila wiki but ilikua inanipa access to the entire Mtwapa.