Wapi naeza pata hood/bonnet insulator ya Premio 260?
Asanti sana.
Following
ata mimi natafuta hiyo kitu. 240
Do you mean the vinyl installed on the bonnet?
Yes. Kama hii iko kwa hii picha
[ATTACH=full]388486[/ATTACH][ATTACH=full]388487[/ATTACH]
Unajua mahali naeza ipata?
Na si uweke hii
Gani iyo?
Si ukate blanketi huo shape alafu utwangilie rivet
Kirinyaga ama Baricho roads
:D:D:D acha jokes bana
Mumeru mjinga ni aje,ukipata unipatie throughpass pia