Pongezi kwenu kenyatalk kwa kusikia kilio chetu. Hakika nimefarijika saana. Sisi watanzania wakati tulipokuwa huku ukimbizini mara tu baada ya Jamiiforums kule kwetu kufungwa kwa muda, tulipata taabu saaana namna ya kuitumia kenyatalk kutokana na kukosekana kwa APP yenu kwenye Google play store. Bado mpaka sasa nipo hapa Kenya talk. Naipenda Kenya talk. AHSANTE KWA APP GOOGLE PLAY STORE.
Umesema nini sasa, fafanua chieth.
Namaanisha kuwa Kenya talk ipo kwenye Google play store. Waweza download sasa hivi.
Je sisi mabwenyenye tunaotumia mitambo ya tofaa yaani apple©/ iOS ?
Apu hili lipo kwenywe ghala la iTunes ?
Sina uhakika kama kwenye iTunes ipo.