HONGERA KENYA TALK KWA APP

Waheshimiwa wapenzi wa APP, kenya talk wamesikiliza kilio chetu. Kama huna tapatalk yenye JF ya nyumbani pia, basi tembelea google play store kwa kupakua kenya talk. NB.NATAMANI KAGAME ANYOFOLEWE HATA SASA HIVI.

Mkuu app ya kenya talk mbona haipatikani katika plastore, nimeandika kenya talk hamna kenya foruma hakuna vile vile

Hapana kijana. Kenyatalk ipo play store. Niamini mkuu. Tembelea tu kule play store. Haina muda mrefu tangu iwekwe. Hata walio like kwa maana ya kuipa star bado ni wachache saana. Imewekwa July 3 2018.

Asante sana kwa taarifa, nimeiona na nimekwisha install. Iko poa sana…

Ipo, hata mimi nimeiona na tayari nime install kwenye simu yangu…

Taarifa nzuri, asante.

Asante mkuu nimeiona

Good

angalia KT ndio yenyewe. Nimooooo

niisake niisake

Hatimae nami nimeipakua KT.iko poa aisee

Namii nimepakua mda si mrefu…aise huku sihami hata kwa greda

Hahahaha uhami hata kw Breda et

Haswaaa

Safi sana…

Cc: @Mahondaw

Kenya wapo makini wamesikia kilio na wametekeleza. Someni hili watanzania wezangu.